2026-11-01 14:21:00ARUSHA: SERIKALI imeshauriwa kuongeza uwekezaji na kutumia kikamilifu uwezo wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) katika tafiti, ubunifu na kubadilisha matokeo ya tafiti hizo kuwa bidhaa na huduma za kibiashara zitakazochoch
2026-11-01 14:13:03ARUSHA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inatarajia kukamilisha ujenzi wa majengo 93 ya ofisi katika maeneo mbalimbali nchini ifikapo Julai 2027, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kusogeza huduma karibu na wananchi. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU,
2026-11-01 12:48:23ARUSHA; Wakili Alute Lissu ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amefariki dunia. Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali mkoani Arusha zinaeleza kuwa, Wakili Alute alifariki usiku wa kuamkia leo mkoani humo. Vyombo
2026-10-31 22:52:48URUSI: Uhusiano kati ya Tanzania na Urusi unaingia katika sura mpya, huku fursa katika biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, kilimo na viwanda zikionekana kuwa maeneo muhimu ya kuunganisha urafiki wa muda mrefu na mahitaji ya maendeleo ya s
2026-10-31 09:55:29DODOMA: Kwa zaidi ya miongo mitano, Dodoma imebeba ndoto kubwa ya kuwa kitovu cha utawala na maendeleo ya Tanzania. Ndoto hiyo, iliyoasisiwa mwaka 1973 na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ya kuifanya Dodoma kuwa makao makuu ya nchi, leo
2026-10-30 18:28:56CHINA; Balozi wa Tanzania nchini China, Dk Suleiman Haji Suleiman, ameahidi kuwaunganisha wanafunzi Watanzania wanaosoma nchini humo na kampuni za China ili kuwawezesha kupata fursa za ajira na biashara, na kuwataka kutumia ujuzi wanaoupata kuchangia maendeleo
2026-10-30 16:41:03DAR ES SALAAM: Chama cha ACT Wazalendo kinatarajia kuanza ziara ya mikutano ya hadhara yenye takribani siku 20 itakayoanza Novemba 01, 2026 na kufikia mikoa 8 ya Tanzania Bara. Ziara hiyo imepangwa kutembelea mikoa ya kanda ya ziwa, mikoa ya magharibi mwa nchi
2026-10-30 16:02:12WANAFUNZI 270 wa Shule ya Sekondari Tosamaganga mkoani Iringa wanatarajia kunufaika na maboresho ya mazingira ya kujifunzia na kupata elimu ya kodi baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukabidhi vifaa vya TEHAMA vyenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 37 kw
2026-10-30 11:01:35DAR ES SALAAM: Wanachama wa Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) wameidhinisha utekelezaji wa Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Ada ya Chini ya Mawakala wa Forodha (T-CAMS), baada ya viongozi kuwapa ufafanuzi kuhusu namna mfumo huo utakavyofanya
2026-10-29 18:07:48MBEYA; Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Jumanne Sagini, ameipongeza Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya kwa kuboresha huduma za afya, kuimarisha ubunifu wa teknolojia na kuzingatia utu katika kuhudumia wagonjwa. Sagini ametoa pongezi hizo wakati wa ziara yake hospitali
2026-10-28 18:34:45IRINGA:SERIKALI imetaka tafiti za kisayansi, teknolojia na ubunifu kutumika kuongeza tija katika sekta ya mifugo na uvuvi, huku matokeo yake yakilenga kutatua changamoto za wafugaji na kuboresha maisha yao. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Balozi Dk Bashiru Ally Kak
2026-10-28 18:06:43MANYARA; Mkuu wa Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Vita Kawawa, amewataka viongozi na watendaji kuwasikiliza wananchi, kupokea maoni na kero zao, kuzitatua kwa wakati na kutoa mrejesho ili kujenga imani kwa Serikali. Kawawa ametoa agizo hilo leo wakati aki
2026-10-28 17:59:22DAR ES SALAAM: Serikali imesema utoaji wa leseni nne za utafutaji wa gesi asilia kwa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) utaimarisha uwezo wa shirika hilo katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za mafuta na gesi, kuongeza upatikanaji wa nishati
2026-10-28 14:02:39KATAVI; Serikali mkoani Katavi imewataka wadau na wataalamu wa lishe kuongeza elimu kwa wananchi kuhusu matumizi ya teknolojia za uongezaji wa madini na vitamini kwenye vyakula, pamoja na uchakataji wa mazao ya mifugo, ili kuboresha lishe na kupunguza udumavu
2026-10-28 12:53:51PWANI:Wapenzi wa sanaa na utamaduni wanatarajiwa kupata burudani ya aina mbalimbali kuanzia leo, Oktoba 28, hadi Oktoba 31, 2026, wakati Tamasha la 44 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, maarufu kama Bagamoyo Festival, litakapofanyika katika viwanja n
2026-10-28 11:58:13spielcasino friedrichshafen Feel free to surf to my page ... 200 freispiele Ohne einzahlung (Www.klang-weg.de)
2026-10-28 11:57:25MANYARA; Wizara ya Katiba na Sheria imesema migogoro mbalimbali inaweza kupata suluhisho ikiwa viongozi na watendaji wa serikali za mitaa watatekeleza majukumu kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, utawala bora, haki za binadamu. Mkurugenzi wa Katiba na ufu
2026-10-28 11:57:21Great write-up, I'm regular visitor of one's web site, maintain up the nice operate, and It's going to be a regular visitor for a long time.
2026-10-28 11:56:48Thankyou for helping out, good info .
2026-10-28 11:55:19